Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

By: DW.COM | Deutsche Welle
  • Summary

  • Andreas anafanya kazi kwenye Hotel Europa iliyoko katika mji wa Aachen ili apate kugharamia masomo yake ya uandishi habari. Vituko vinaanza baada ya kutoweka kwa mwanamuziki maarufu kutoka chumba nambari 10. Mambo muhimu ya sarufi: Mnyambuliko wa vitenzi, viwakilishi-nafsi, maswali mepesi, uhusika wa moja kwa moja.
    2024 DW.COM, Deutsche Welle
    Show More Show Less
Episodes
  • Somo 26 – Ninakualika
    Mar 18 2009
    Herr Thürmann ana kazi ya kumpatia Andreas – mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vinavyotenganishwa
    Show More Show Less
    15 mins
  • Somo 25 – Kilichobaki nitalipa mimi
    Mar 18 2009
    Andreas anatahayari... Muhtasari wa sarufi: Viwakilishi na kidhihirishi katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
    Show More Show Less
    14 mins
  • Somo 24 – Je, ungependa (kunywa) kahawa nyingine?
    Mar 18 2009
    Kualikana chakula kikazi: Frau Berger, Andreas na Ex... Muhtasari wa sarufi: Majina katika uhusika wa moja kwa moja (accusative)
    Show More Show Less
    13 mins

What listeners say about Deutsch – warum nicht? Fungu 1| Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.