Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

By: DW.COM | Deutsche Welle
  • Summary

  • Andreas bado anafanya kazi Aachen, lakini Dr Thürmann amepata kazi mpya kwa mwenye mtizamo wa kuwa mwandishi habari. Berlin: Jiji kubwa na linalovutia zaidi linamsubiri. Mambo muhimu ya sarufi: Wakati uliopita hali ya kuendelea, vishazi tegemezi, kubadilika kwa vivumishi.
    2024 DW.COM, Deutsche Welle
    Show More Show Less
Episodes
  • Somo 26 – Tunataka tuwe pamoja tu
    Mar 18 2009
    Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Show More Show Less
    15 mins
  • Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogo
    Mar 18 2009
    Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi
    Show More Show Less
    14 mins
  • Somo 24 – Wafu hawafi milele
    Mar 18 2009
    Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Show More Show Less
    15 mins

What listeners say about Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.