• Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli

  • Aug 25 2009
  • Length: 14 mins
  • Podcast

Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli

  • Summary

  • Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee.Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mchezo wao wa redio, Paula na Philipp wanachunguza asili ya mila hii-ambayo yumkini inahusiana na maana ya neno "getürkt." Wakati huo huo, Ayhan anatumia muda wake afisini kusoma vitabu kuhusu bundi. Kwa kuwa Eulalia hajui kusoma, Ayhan anamsomea. Tukio hili linashughulikia zaidi viambishi-awali vya vitenzi na jinsi ambavyo maana ya kitenzi hubadilika pale kiambishi-awali kinapobadilishwa.
    Show More Show Less

What listeners say about Tukio 25 – Kuzikaribisha Meli

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.