Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

By: DW.COM | Deutsche Welle
  • Summary

  • Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usioungwa moja kwa moja.
    2024 DW.COM, Deutsche Welle
    Show More Show Less
Episodes
  • Somo 26 – Safari ya kwenda Loreley inapendeza ajabu
    Mar 18 2009
    Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Show More Show Less
    16 mins
  • Somo 25 – Unaweza kunipatia taulo za mkono?
    Mar 18 2009
    Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘
    Show More Show Less
    14 mins
  • Somo 24 – Nimesahau
    Mar 18 2009
    Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa
    Show More Show Less
    15 mins

What listeners say about Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.