• Somo 26 – Safari ya kwenda Loreley inapendeza ajabu
    Mar 18 2009
    Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
    Show More Show Less
    16 mins
  • Somo 25 – Unaweza kunipatia taulo za mkono?
    Mar 18 2009
    Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘
    Show More Show Less
    14 mins
  • Somo 24 – Nimesahau
    Mar 18 2009
    Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa
    Show More Show Less
    15 mins
  • Somo 23 – Kumetokea nini?
    Mar 18 2009
    Andreas anapokea simu kutoka mtu anayemjua... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) wa vitendo vinavyotenganishwa
    Show More Show Less
    15 mins
  • Somo 22 – Jumatano saa moja ya asubuhi
    Mar 17 2009
    Matatizo Hotel Europa: Bomba la mvua (shower) limeharibika... Muhtasari wa sarufi: Kiulizio cha wakati
    Show More Show Less
    16 mins
  • Somo 21 – Posta iko wapi (Nitafika vipi posta)?
    Mar 17 2009
    Mtafaruku katika mapokezi ya hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kijineno denn
    Show More Show Less
    15 mins
  • Somo 20 – Nimeandikisha chumba (hotelini)
    Mar 17 2009
    Siku ya kukosa bahati Herr Müller... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case III)
    Show More Show Less
    16 mins
  • Somo 19 – Mtu humsemesha vipi Kaizari?
    Mar 17 2009
    Mahojiano na Karl Mkuu ... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case II)
    Show More Show Less
    17 mins